Ushauri kuhusu ujasiriamali

Free Again

Senior Member
Dec 20, 2015
114
93
Naomba ushauri kwa mtu yeyoye ambaye anajua biashara au mradi ambao unaweza kuingiza kipato kwa muda mfupi (mwezi mmoja mpaka 6) pasipo uhusika wa moja kwa moja (direct involvement). Gharama isizidi laki 4.

Naomba ushauri hapo jamani! Asante.!
 
Mh hivi inawezekana kuingiza kipato bila direct involvement? Labda ununue hisa lakini huenda faida ukapata ndogo
 
Naomba ushauri kwa mtu yeyoye ambaye anajua biashara au mradi ambao unaweza kuingiza kipato kwa muda mfupi (mwezi mmoja mpaka 6),pasipo uhusika wa moja kwa moja (direct involvement).gharama isizidi laki 4.

Naomba ushauri hapo jamani!Asante.!
Ingiza kwenye akaunti ya muda maalumu kwenye benki zinazolipa vizuri, utapata faida kulingana nahela yenyewe!
 
Asante mkuu,uhusika wa moja kwa moja niliokuwa namaanisha ni kuto muda wote.kwa sababu natingwa na mambo mengine....lakini lako nimelipenda pia asante
 
Back
Top Bottom