Mwajiriwa anaweza kujishughulisha na kazi za ufundi nje ya ajira kwa namna ipi?

x - mas

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
930
611
How are you!?

Namaanisha kwamba mtu ni mwajiriwa serikalini au sekta binafsi lakini anapenda kujiongezea kipato kwa shughuli za ufundi baada ya kutoka kazini.

Naamini wazoefu mpo humu tafadhali tupeane mawazo namna ya kuendesha kazi mbili kwa wakati mmoja bila kumkwaza mwajiri, pia shughuli binafsi zilete mafanikio.

Asante sana.
 
Ufundi wa nini?
- Kujenga nyumba
-Seremala
- Kushona nguo
- Kutengeneza majiko ya mkaa
- Kuziba masufuria
- kutengeneza baiskeli, pikikpik, magari, ndege, meli

hujaeweka
 
Kumbuka mwajiri akishajua unajua kitu zaidi ya professional yako anaweza kukuongeza kazi ata ambazo hukutakiwa kufanya kwa ujira ulele. Unachotakiwa hizo kazizako ufanya nje ya kituo cha kazi na zisiingiliane na muda wa mwajiri wako
 
Back
Top Bottom