Habari Wataalam
Nampango wa kuanzisha mradi wa kuku wa kienyeji hasa nikijikita kwa mazingira nilionayo. Ila nilitamani kufuga angalau kitaalamu, sio ili mradi nimewaweka tu nyumbani.
Kwa wale...
Wana jamvi nilikua nina shida ya kupata elimu kamili ya kuku wa kisasa wa mayai na sehemu naweza kupata mbegu bora ya hao kuku iliyo imara
Na kama kuna thread yoyote ya kunisadia zaidi nitashukuru
Jinsi ya kuandaa viota vya kuku
Kuku anapotagia porini, mayai huliwa na wanyama kama vile nyoka na wengineo. Kuku pia anaweza kudhuriwa na wanyama hao na wakati mwingine kuibwa.
Viota ni mahali...
Mimi ni wakala wa m pesa ninaye fanyia kazi zangu maeneo ya kariakoo, nina fanya sana biashara cha ajabu siku zinavyozidi kwenda wateja wanaongezeka ila commision inazidi kupungua, ni kitu cha...
Wadau naomba ushauri kwani sasa naandaa shamba kwaajili ya kulima matikiti zipo ni mbegu nzuri na tahadhari zake naomba msaada wenu wa mawazo nimeamua kujiajiri katika kilimo. Pia nimeona...
Wakuu Habarini za majukumu?
Husika na kichwa cha habari hapo juu, wakuu ningependa kujuzwa bei stahiki za ufuta ama soko lake kwa kuuza kwa jumla Dar es Salaam.
Natanguliza shukrani zangu za...
Hatua zipi za kuzingatia ukitaka kufuga kuku wa kienyejihabari wana bodi, nimekuwa mfugaji kwa siku za hivi karibuni, hata hivyo nimepata changamoto ya kifo kwa ng'ombe mmoja alionyesha dalili...
Mtu anakufuata anaomba msaada wa kujikwamua kiuchumi. Unamuuliza unao uwezo wa kufanya nini wewe mwenyewe tena vizuri. Anajibu chochote. Nalikataa hilo jibu namwambia chochote si jibu sahihi...
Habari zenu wadau wa kilimo na ufugaji,
Naombeni msaada wa ushauri juu ya nini cha kufanya kwa kuku wangu wa mayai.
Wameanza kutaga takriban miezi mine iliyopita. ukubwa wa mayai umekuwa...
Jamani baada ya kuona maisha ya mshahara ni majanga tuu, nikaamua kujiongeza nifanye ujasiriamali. Nikapata wazo, na hili wazo nimelipata baada ya kusoma sana post za hapa JF kuhusu ujasiriamali...
Habar za jioni ndugu zangu,
Mimi ni kijana nahitaji kujua jinsi ya kuweza kupata eneo maeneo yanayozunguka rufiji.
Natakiwa nianzie wapi?
Je, ni kweli hawa jamaa wanaweza wakakupa eneo, na...
Salaam,
Nahitaji kuanza biashara ya kuuza nyanya, hoho, vitunguu, karoti, tangawizi na vitu kama hivyo.. Nachohitaj zaid kujua ni bei za mazao hayo sokoni kwa jumla.. Na kama naweza pata toka...
Naomba msaada wa mawazo. Nimenunua shamba eneo ambalo nimefanya utafiti nikagundua underground water iko karibu sana. Mpango wangu ni kuchimba kusima kwa ajili ya kufanya irrigation farming...