Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Salaam Wakuu, Mimi ni kijana muhitimu wa Chuo kikuu. Katika mapambano ya kusaka mkate wa kila siku nimeona ni vema nikajikita katika kujiajiri. Naaam kujiajiri katika sekta ya Kilimo na ufugaji...
9 Reactions
90 Replies
13K Views
Limenijia wazo kichani mwangu, washkaji munaonaje tukaanzisha kitu kama tour au ziara fulani hivi kwa ajili ya kujionea watu walivyofanikiwa katika kilimo, ufugaji na pia kupata fursa ya sisi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za humu mu wazima? Kumekuwa na vizuizi vingi sana kwa wakulima wa kiafrika kusafirisha mazao yao nje ya Afrika kwa kigezo cha mazao yenye madawa Hali hii imesababisha mazao mengi kama...
3 Reactions
18 Replies
7K Views
Habari Wana JF Napenda kuchukua nafasi hii kuwatangazia wataalamu wa kutengeneza Website ya Kampuni. Ni kampuni itakayohusika na mauzo ambayo wateja wataweza kulipa kwa kutumia Mobile Money...
0 Reactions
3 Replies
998 Views
Habari ndugu zangu. Naitwa Mwl Madnja RF nipo Sengerema. Natafuta kuku aina ya kuchi, wale wasio na manyoya mengi, wenye mdomo mfupi sana. Pia soko lake likoje? Mwenye nao tuwasiliane kwa Whatssap...
2 Reactions
13 Replies
12K Views
Hi! Nahitaji mawasiliano na mkulima au dalali wa vitunguu swaumu vya babati ili tufanye biashara nipe no zako PM nikupigie asante
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau, nina mtaji wa milioni 20, eneo la ekari 1 Kibaha. Nataka nianzishe ufugaji wa kuku wa mayai. Tayari nimejenga nyumba ndogo ya kuishi mfanyakazi. Bado naendelea na ujenzi wa mabanda ya kuku...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habar wanajamvi mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji wa kawaida sasa nataka kubadilisha mfumo wa ufugaji kutoka kuku wa kienyeji kwenda chotara aina ya kuroiler sasa nataka kununua vifaranga je...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
habari za leo wapendwa. natumain hamjambo na Mwenyezi katubariki kabisa. natamani niingie katika biashara ya hawa viumbe. ila nataka nijue ni wapi ambao hawashambuliwi na magonjwa ovyo, hapa naona...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Ndg zangu wenye utaalamu wa ufugaji kuku naomba nipewe elimu, nahitaji kuanza ufugaji
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Members salama.Nina project ya ufugaji kuku ambayo nimeanza miezi miwili iliyopita baada ya darasa zito kutika hapa.Project inakwenda vizuri na ninefanikiwa kutotoresha vifarangq kwa awamu ya...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Samahani ndugu zangu Nina uhitaji mkubwa wa pumba za mahindi Niko Arusha mjini naomba msaada wa upatikanaji
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Unapofikiria kufanya ufugaji wa kuku lazima wazo lako likupeleke kwenye kufanya ufugaji wa kuku wa kibiashara ufugaji ambao unakuwa kama kazi. Kwa wanafunzi wanaohitimu vyuo vikuu hawana haja ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wapendwa naomba kupata ushauri wa namna ya kupata masoko ya kuuza nyanya hasa katika kipindi ambacho kwa sasa nyanya zimefurika sokoni.Natarajia kuanza kuuza wiki moja ijayo. Je utaratibu...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
wakuu napenda kufanya ulanguzi wa asali mikoa ya tabora pamoja na singida ila changamoto ya hii mikoa hua inaathiriwa sana na maua yanayotokana na tumbaku ambayo hua na sumu ya nikotin ambayo...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Tafadhali naomba msaada kwa yeyote aliyeko Dar, mashine yangu ya kutotolesha vifaranga (incubator ) niliagiza mwezi 5 ilifika dar mwezi 7! Je ni kweli bandari wanaweza kuiuza kwa kutoikomboa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua sababu inayofanya majani ya tikiti niliyopanda yananyauka na kukauka wakati ninamwagilia maji ya kutosha. Nilijaribu kuangalia mizizi yake nikaikuta mizima na yenye maji Naomba pia...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
habari zenu wakubwa. naomba kufahamu kutoka kwa wataalam wa kilimo na udongo kuhusu issue ya soil sterilization. kwenye vipengele vifuatavyo .maanake yake .ina faida gani kwa mkulima kiujumla...
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Ninao Bata lakini wamekuwa wakilegea miguu na shingo. Pia wanaharisha mavi meupee. Naomba kufahamu tiba na hayo maradhi yanaitwaje?
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Back
Top Bottom