Mtalaam wa Mifugo aliyeko Kibaha

Mtalaam wa Mifugo aliyeko Kibaha

Nkuba25

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
2,386
Reaction score
13,135
Habari wanaBodi

Naomba contacts za mtaalam wa Mifugo Aliyeko Kibaha. Aina ya mfugo ni Nguruwe.

Naomba mwenye contact ani PM au aweke contact hapa.

Asante.
 
Mimi niko mbali kidogo na kibaha, ngoja nichek jamaa zangu kama kuna mmojawapo yupo maeneo hayo.
 
Wamaasai wote ni wataalam wa mifugo... Tafuta mmoja wapo hapo akutatulie shida yako...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom