Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,422
- 1,254
jamani huko wenzetu vipi,maana kwa hali ilivyo shinyanga mwaka huu ni hatare mvua inajaribu kidogo tu inasepa, kwa kweli wakulima full kuchanganyikiwa hatujaslima kabisaaa mpaka saivi. na magu hataki kutuajiri sisi walimu wa sanaa majanga sana