TRECTA LA MATUTA.

TRECTA LA MATUTA.

Inamonga

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2016
Posts
779
Reaction score
476
Habari watalam wa kilimo na ufugaji,
Kuna kupindi nilisikia kuwa kuna trecta hapa nchini linauwezo wa kulima matuta.. je nikweli?
Nahitaji kwa ajili ya kukodi kama lipo, mm nipo mkuranga..
 
Kwa ajili ya kilimo cha viazi vitamu mkuu..
 
Nimeliona mkuu, kwa hapa mkuranga sijui kama ntalipata kwa ajili ya kukodi..
 
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
 
Trekta ni moja tu majembe ndio yako ya tofauti tofauti ,tafuta mtaalam wapo wanaojua kutumia hata jembe la disc kupigia tuta
 
Jembe la disc ndio haya ya kawaida?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom