Kwa mwenye uzoefu Biashara ya Uvuvi

Kwa mwenye uzoefu Biashara ya Uvuvi

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,972
Reaction score
30,152
Habari humu jamvini, kwa yule mwenye uzoefu na hii biashara tafadhali naomba anielekeze inafanyikaje kuanzia mwenye chombo mashine mpaka mgawo wa kinachopatikana tafadhali jamvini humu.
 
Habari humu jamvini, kwa yule mwenye uzoefu na hii biashara tafadhali naomba anielekeze inafanyikaje kuanzia mwenye chombo mashine mpaka mgawo wa kinachopatikana tafadhali jamvini humu.
Gharama za chombo inategemea na aina ya chombo na ukubwa wake
Na mashine ivo ivo zipo tofauti kuanzia HP 15. 25. 30 na kuendelea na aina ya kampuni
Lkn km umekamilika vyombo vyote biashara hii nzuli kuliko biashara za magari
 
Back
Top Bottom