Wadau, nimetafakari jambo hili. Watu wengi wanasema msimu wa kupanda tikiti maji ni kati ya March and september. Lakini msimu huu nikiangalia kupanda mahindi ni kama kucheza karata. mpaka sasa mvua hazieleweki, hata watu wengi mpaka sasa hawajapanda mahindi. Sasa nimeangalia hapa shambani kwangu nimechimba kisima kwa mkono na maji ya kumwagilia yapo. Sasa nikiangalia kumwagilia mahindi ni biashara kichaa, nawaza nikiamua kulima tikiti, au vitunguu au nyanya, mvua zikiwa haba namwagilia, je naweza kutoka?
Naombeni ushauri
Naombeni ushauri