Bei ya vitunguu soko la ilala imepanda kutoka shilingi 60,000 miezi miwili iliyopita hadi 105,000 kipindi hiki kutokana na kuadimika kwa vitunguu msimu huu
unavyo mkuuHuku vimejaa kibao, kama unataka ni-pm. Bei karibu na bure.
hyo bei ya kipimo gani?..mbona unatoa taarifa kama mwanangu getrude anaesoma la piliBei ya vitunguu soko la ilala imepanda kutoka shilingi 60,000 miezi miwili iliyopita hadi 105,000 kipindi hiki kutokana na kuadimika kwa vitunguu msimu huu
Vipo soko la kimaifa la vitunguu singida, viko kibao. Kama vipi tu-team up, tufanye biashara.unavyo mkuu
Vipo soko la kimaifa la vitunguu singida, viko kibao. Kama vipi tu-team up, tufanye biashara.
ok mkuu unavo vya aina gani mzee na gunia kiasi gani?Vipo soko la kimaifa la vitunguu singida, viko kibao. Kama vipi tu-team up, tufanye biashara.
Ntakujibu mchana kiongozi,. Nitapitia kukupa updates.ok mkuu unavo vya aina gani mzee na gunia kiasi gani?
Kwema, kama unahitaji vitunguu nicheki tufanye biashara. Ninavyo nimehofadhi gunia kama mia mbili ivi. Vipo Kisaki Morogoro.ok mkuu unavo vya aina gani mzee na gunia kiasi gani?