mlogolaje JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 1,509 Reaction score 815 Dec 13, 2016 #1 Kila nikifungua kilimo,ufugaji na uvuvi kila kitu naambiwa ni dili yaani full faida,sasa nifanye kipi
Kila nikifungua kilimo,ufugaji na uvuvi kila kitu naambiwa ni dili yaani full faida,sasa nifanye kipi
mwampepe JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 330 Reaction score 129 Dec 14, 2016 #2 Fanya unachoweza
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,809 Reaction score 40,559 Dec 14, 2016 #3 nyingi ni hesebu za makaratasi hata zisikuchanganye. we kajarbu tu hata kimoja uone mziki wake