Katika pitapita zangu, nimekutana na jamaa anauza miche ya mwa40 inayotoa mbao. Yeye alinieleza kuwa mbegu hiyo ni tafofauti na ile ya mwa40 tuliozoea kwa maana kwamba mti wake unakua kwa kunyooka kwenda juu.
Anasema unachukua miaka 5 tu kukomaa kwa ajili ya mbao. Mbao zake ni soft na nyekundu and therefore inatumika kwa ajili ya furniture za nyumbani.
Kama Maelezo ya huyu bwana yapo sawa, miti hii inaweza kuwa mkombozi kwa wale wakulima wa misitu, maana mavuno ni baada ya miaka michache compared to miti mingi ya mbao tuliyoizoea.
Nimenunua kama miche 20 ya kuanzia kwanza nione maendeleo yake.
Ila sijajua soko na bei ya mbao yake zikoje
Kama kuna yeyote mwenye info/ experience zaidi kuhusu mti huu atuwekee hapa ili tujifunze zaidi.
Natangiliza Shukrani.