Msaada wa masoko ya biashara ya chokaa

Msaada wa masoko ya biashara ya chokaa

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
431
Reaction score
211
wandugu, mimi ni mjasiriamali niliejiajiri kwa biashara ya chokaa, hapa Tanga tunaitengeneza locally (ambayo ndio inahitajiwa zaidi) na baada ya hapo tunawauzia watu wa hapa hapa tanga wenye mashine za kuisaga ile chokaa then wao wanaisafirisha mikoani, nw nataka nipanue biashara yangu zaidi, kwa sasa nimeshaweka mipango yangu sawa ya kununua mashine ili niwe naisaga mwenyewe, tatizo sina uhakika wa masomo, sasa naomba msaada kama kuna mtu ambaye alishafanya biashara kama hiyo, lakini pia nikipata bei ya chokaa kwa inavyouzwa huko mikoani ili angalau nipate kupanua mawazo yangu zaidi
 
please contact me at 0654 010176 tuone tukafanya vipi biashara!!!!!
 
please contact me at 0654 01 01 76 tuone tukafanya vipi biashara!!!!!
 
wandugu, mimi ni mjasiriamali niliejiajiri kwa biashara ya chokaa, hapa Tanga tunaitengeneza locally (ambayo ndio inahitajiwa zaidi) na baada ya hapo tunawauzia watu wa hapa hapa tanga wenye mashine za kuisaga ile chokaa then wao wanaisafirisha mikoani, nw nataka nipanue biashara yangu zaidi, kwa sasa nimeshaweka mipango yangu sawa ya kununua mashine ili niwe naisaga mwenyewe, tatizo sina uhakika wa masomo, sasa naomba msaada kama kuna mtu ambaye alishafanya biashara kama hiyo, lakini pia nikipata bei ya chokaa kwa inavyouzwa huko mikoani ili angalau nipate kupanua mawazo yangu zaidi

g4cool, ninahitaji chokaa niko dar, naweza kuipata kwa bei jumla taniuzia shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom