Kilimo cha kutegemea mvua hakifai kokote duniani.Angalia nchi kama Misri, Israeli, Ethiopia na Sudan ambazo zinakumbwa na ujangwa uliopitiliza, wanalima mno kisasa kwa umwagiliaji toka mto Nile...
Wadau,
Napenda kufahamu ni vipi wakulima wa kahawa wanavyofaidika na ukulima wao, katiika mikoa inayotoa hii kahawa na zipi challenge zao kubwa.
Pia,napenda kufahamu wapi zabibu inatoka vizuri na...
Habari za leo watanzania na wageni kwa ujumla wenu.
Natamani sana ufugaji wa nguruwe wenye tija lkn sijaweza fuga mpaka sasa kutokana na ukosefu wa mtaji. Nimefanya utafiti wa kutosha juu ya...
Habari za muda huu wanafamilia ya Jamii Forum na heri ya mwaka mpya pia,
Wakuu,kipato hakikidhi mahitaji ya muhimu na msingi hasa kwa kutegemea mshahara.Hivyo nimeona naweza nikageukia kilimo...
habarini za majukumu,samahani ningeomba kujuzwa kama honey king wananunua asali kwa wauzaji wadogo na kama ndio wananunua kwa bei gani?na kama kuna mtu mwenye mawasiliano yao anisaidie maana...
wakuu nna automatic incubator lakini cjapata kifaranga hata kimoja cha bata mara mbili mfululizo lakini mayai ya kuku yanatoka vizuri tu naombeni msaada wakuu
Asalaam kama ulivyosoma hapo nje mkuu, mi kijana katika kutafuta maisha nikaona niguse kila mahali nitafute mtaji kwanza mwenye utaalamu au anaejua kuhusu kilimo hicho anielekeze
Wakuu habari zenu...
Kwa heshima na taadhima naomba kupata darasa kuhusu ufugaji wa nyuki kwa ajili ya asali.
Kwa wale wa Tabora, Arusha au popote pale kwenye kilimo hiki naomba msaada...
Ndugu zangu naomba msaada nimefuga kanga na kuku upande wa kuku hakuna tatizo ndipo nikaona nijiongeze kufuga kanga. Ni eneo kubwa sana wanapata chakula cha kutosha tatizo wanataga vichakani bila...
Heshima kwenu wakuu
Kutokana na bei ya korosho kukaa vizur nimepata wazo la kupanda mikorosho maeneo ya Rufiji.
Kwa anayejua idadi ya niche ya mikorosho kwa heka moja anisaidie na distance kati...
Ndugu zangu napenda kuwataarifu kuwa mvua zimeanza ,karibia kila kona ya tanzania,nyanda za kusini,kanda ya ziwa, pwani,kanda ya kati, kazikazini na kwingineko.
kazi kwenu. mi tayari niko kwa shamba
Hello team, nahitaji kufanya biashara ya ununuzi wa choroko so ningependa kujua hasa msimu wa mavuno unaanza lini na ni mikoa ipi hasa choroko upatikana kwa wingi ili nianze kujipanga mapema...
Kwa wale walio na mtaji mdogo na wanajiuliza watauzungushaje mimi ni Mjasiriamali ambae nauza viatu vya kimasai jumla kuanzia pea 10 kwa shilingi elfu 13 na rejareja vinauzwa kuanzia elfu 17 mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.