Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

TUFANYE HAYA ZIARA ZA KUTEMBELEA MFUGAJI/MKULIMA Siku za hivi karibuni watu wamekuwa na mwamko wa kutembelea kujifunza kwa watu wengine.Kujifunza kilimo na pia ufugaji. Watu hutembelea kujifunza...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Guys igweeee, naomba kujua jinsi ya kupata greenhouse kwa ajili ya shamba la ekari moja. Ni greenhouse ngapi? Moja Lina cover ukubwa gani? Je ekari moja zitakiwa ngapi?je greenhouse package yake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeipata Mahali idea hii hivyo si vibaya nikashea na wengine kwa njia moja ama nyingine itawasaidia. Kutengeneza GreenHouse kwa Kutumia makopo ya maji na take away inakarimu muda na garama za...
3 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari mimi ni mgeni humu,ninaungana nanyi ktk kilimo,mm tayari nina eka 7 za matikiti katikati ya mwezi ujao nitaanza kuvuna eka 2 za mwanzo lakini huku ninakolimia kuna changamoto nyingi...
0 Reactions
3 Replies
697 Views
Habari zenu, wana JF ... Ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi humu ndani, ingawa nimekuwa mchangiaji mara chache kwenye nyuzi za wengine, hususan kwenye jukwaa la MMU. Kuna rafiki yangu mmoja...
0 Reactions
29 Replies
12K Views
Habarini za leo wanajukwaa.Mimi ni mkazi wa mwanza.Natafuta shamba wilaya ya misungwi.Mwenye taarifa yoyote nakmba aje PM. Post sent using JamiiForums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji mavazi ya kuvunia asali wap ntapata? Naomben mnijuze
0 Reactions
1 Replies
827 Views
Nahitaji kuanzisha kiwanda kidogo chakutengeneza chakula cha kuku bleed za kienyeji kuku chotala,malawi,nk……… ninamtaji wa milion 7 nilazima nijisajili (TBS) NIWE NA (KAMPUNY)? Je viloba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipo Morogoro Dakawa, nauza hoho za kijani kwa bei nipigie 0658308754 au 0653441636 karibuni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu! Je naweza kuchimba kisima 1 na kufanya kilimo cha acre 100 kwa kilimo cha mahindi na maharagwe.
0 Reactions
1 Replies
857 Views
Niliwahi sikia kuna njia ya kuzifanya mbegu zisiharibike zinapopandwa ardhini hata kama zisiponyeshewa na mvua kwa muda hata wa mwezi. Njia gani hizo?
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Habari wa ndugu, Niko Dodoma nahitaji watoto wa nguruwe mbegu ndefu kwa mawasiliano unaweza kunichek kwa namba 0753697838
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mkulima wa mboga naisi wilaya ya Temeke Dar es salaam ninalima mboga mboga kwa wingi hasa mchicha katika mazingira mazuri masafi na kumwagilia maji masafi ya kisima pia situmii mbolea za...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
wasalaam wakulima wenzangu...dar es salaam ni wapi kuna shughuli za kilimo cha umwagiliaji mtu anaweza kukodi shamba na kulima hapo?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habarini? Naombeni kuuliza, uzito wa debe moja la alizeti ni kiasi gani? Naombeni majibu kwa wazoefu Kazi njema!!
0 Reactions
12 Replies
9K Views
napenda kuuliza zile tractor za millin 20-35 ukitaka kuikopa ikiwa na tela lake panoja na PTO water pump itagarim sh ngapi kwd miaka mitatu? na je marejesho kwa mwez inaweza kuwa Tsh ngapi...
2 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari za humu ndani vijana wenzangu wa kitanzania. Tafadhali changamkieni fursa ya ufadhili kwenye miradi ya kilimo kutoka Ireland. Government of Ireland Africa Agri-food Development Program...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Kulikuwa na wimbi kubwa la matangazo na mauzo ya mayai ya ndege mdogo aina ya kware. Mayai yake yalisifiwa sana na kushawishi watu wengi kuyatumia. Wapo hata walioanza na kuimarika katika ufugaji...
9 Reactions
41 Replies
7K Views
Wakuu habari Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye malengo lukuki kuhusu kilimo na ufugaji hapa nchini, Nimeamua kujitosa kwenye kilimo na ufugaji hapa Arusha! Ninachokitafuta kutoka kwenu ni...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom