Wafugaji wa Kuku na Samaki

iJamii

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
1,960
1,501
Nilikuwa ninaomba kuuliza je, kwa hapa bongo kuna sehemu ambapo zinauzwa machine za kutengenezea pellet za chakula cha kuku au samaki... Walau machine yenye kuweza kutengeneza 50-100kg/hr!!?
 
Unaongelea incubator
Hapana mkuu incubator c inatumika kutotoreshea... Mie nilikuwa ninaulizia machine ya kutengenezea chakula cha kuku kiwe kwa style ya punje punje kama vile mavi ya panya...

Wanaonunua chakula cha kutengeneza viwandani ni rahisi kwao kunielewa zaidi
 
Nilikuwa ninaomba kuuliza je, kwa hapa bongo kuna sehemu ambapo zinauzwa machine za kutengenezea pellet za chakula cha kuku au samaki... Walau machine yenye kuweza kutengeneza 50-100kg/hr!!?
Nenda fb ,, Search kuku Project
 
Back
Top Bottom