Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Pata habari na Elimu kuhusu Pembejeo za KILIMO.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
SOMA HABARI KWENYE HIZO ATTACHMENTS TUTAKUFIKIA POPOTE ULIPO KWA AJILI YA MAFUNZO YA UZALISHAJI WA H-FOODER
0 Reactions
2 Replies
2K Views
HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ. Ukubwa: kilo 100 Bei: 4000 Tutakutumia...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu biashara ya kuchukua maharage kijijini na kuuza town ikoje wakuu
0 Reactions
3 Replies
986 Views
Wadau naomba mtu anisaidie naomba Gani naweza pata namna ya kuwasiliana Na Ruby Fish farm iliyopo bagamoyo.Iwe email,namba ya simu.asante.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo) Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa? Msaada kwa anayeelewa. #commred Chichimizi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo) Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa? Msaada kwa anayeelewa. #commred Chichimizi
0 Reactions
4 Replies
994 Views
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo) Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa? Msaada kwa anayeelewa. #commred Chichimizi
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Ndio. Hiyo ndio hali halisi, hii ndio bei mpya ya mchicha kutoka viunga vya pale O'bay, adjacent na kota za polisi Oysterbay. Fungu hilo lilikuwa likiuzwa ShT. 500/= katika kipindi cha mwezi...
0 Reactions
74 Replies
12K Views
Habark zenu msaada naombeni mnisaidie wapi naweza pata wale samaki wa urembo nipo mkoani Mwanza
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HABARINI WANA JF.... mm ni mwanafunzi wa chuo na ninatamani sana kuja kua mkulima mkubwa wa mazao ya biashara kamampunga, mahindi,vitunguu,matikiti na mengineyo.... Kila kitu kina mwanzo wake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari ya jumapili,jana katika pilika zangu za kilimo nikakutana na hivi vipande vya vimawe vinatoa mg'ao je ni dhahabu au kitu gani kwa anaejua msaa please
2 Reactions
66 Replies
9K Views
Ukimpeleka mgonjwa Hospitali ya Muhimbili, Amana au Mnazi mmoja we unapata faida gani? Au unalipwa nini? Jibu haupati kitu. Je, unajua kama ukimpatia mtu matibabu ya afya unatakiwa ulipwe? Na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heloooo...Naitwa Nick...nipo Morogoro mjini...ni mwanafunzi wa shahada ya sayansi, uzalishaji na teknolojia ya wanyama (Agricultural Animal science and production)..Mungu akipenda mwezi huu naweza...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mambo vipi wadau, nimekuja mbele yenu kuwaomba ushauri. Biashara ya kukodisha magari kwa dar es salaam ni kati ya biashara zinazolipa sana. kwa wale wadau wanaoishi iringa au waliowahi kufika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu ninahitaji mkopo wa milion moja wenye riba nafuu.....nitarejesha baada ya miezi minne na uwezo wangu au riba isizidi laki tatu kwa miezi yote minne.....nina kiwanja kipo kinyerezi, kadi ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
UPUNGUZAJI WA GHARAMA ZA KULISHA KUKU KIPINDI HIKI KIGUMU KABISA. Ni ukweli kwamba gharama za vyakula vya kuku viko juu sana na gharama hizi huchukua asilimia 80 ya gharama zote za matunzo ya...
1 Reactions
9 Replies
8K Views
nilipata fursa ya kwenda Kiteto hivi karibuni.. nimejifunza yafuatayo: Ardhi ya kule ni karibu sawa na bure na bado ipo virgin --ekari inauzwa Tsh 10,000 kwa ekari.. cha kushangaza zaidi...
1 Reactions
24 Replies
13K Views
Nimefanikiwa kununua eneo lenye ukubwa wa hatua 62 kwa 27 kwa ajili ya kufanyia shuguli za ufugaji. Changamoto nilionayo eneo hilo lina shida ya maji mpaka kuchota kisimani. Naomba ushauri kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Miezi kadhaa ya nyuma nilinunua kuku kwa ajili ya kumchinja, mimi napenda sana kuku jike mdada mdada hivi maana ndo huwa watamu, huwa nashangaa sana watu wanaokula majogoo tena yaliyozeeka...
14 Reactions
113 Replies
10K Views
Back
Top Bottom