Tunatembea mikoani ,kwa wanaohitaji,mwezi ujao tupo singidaMnatembelea mikoani au Dodoma ndo makao makuu
Nipo Mkuu,lengo ni kuwasadia watu wanaotaka kutengeneza incubator na ufugaji wa kuki kwa ujumla ,Kinsakina ndo umeenda mazima watu tuko serious na Hii issue
Shinyanga mtakuja lini kulingana na rariba yenuTunatembea mikoani ,kwa wanaohitaji,mwezi ujao tupo singida
Ntakuwekwa videoNingependa nione ndan inafananaje hyo incubator
Uko mkoa ganiKinsakina ndo umeenda mazima watu tuko serious na Hii issue
Kahama ,ngoja tutafakariKahama shinyanga