LAKI TANO TU

jayleoncy112

Senior Member
Jul 17, 2016
164
73
HABARINI WANA JF....
mm ni mwanafunzi wa chuo na ninatamani sana kuja kua mkulima mkubwa wa mazao ya biashara kamampunga, mahindi,vitunguu,matikiti na mengineyo....

Kila kitu kina mwanzo wake, natambua uwepo wa watu walioanza mapema ukulima, pia wakulima wa miaka mingi hapa..
Mwanzo wangu mimi nina kiasi cha sh Laki 5 na ninataka mwaka huu nianze kazi ya ukulima...
Kwa mliotangulia naomba ushauri je nianze na kilimo gani? ambacho pesa itatosha....

IKUMBUKWE..
Natokea Mbeya na nataka kulima huko mbeya ambako Mpunga na Mahindi vinastawi sana......

Pia sina shamba, natarajia kukodisha.
Naomba ushauri wenu Ndugu zangu Mliotangulia na pia wenye uwezo wa kudadavua mambo

Ahsanteni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom