Upandishaji wa nguruwe

Upandishaji wa nguruwe

chichimizi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,074
Reaction score
339
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?

Msaada kwa anayeelewa.

[HASHTAG]#commred[/HASHTAG] Chichimizi
 
nguruwe si binadamu kwamba wasilane , genetic wise hawez toka nguruwe chizi ;: nyama itakuwa tamu hiyo especialy uanze sasa hv ili sikukuuu ya nane nane uwe na banda lako /
 
madhara yapo Ndio! ila kama umeshindwa kabisa kupata dume unaweza pandisha tu kwasababu madhara hayaonekani sana katika F1 generation
 
Back
Top Bottom