bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,976
Wadau naomba mtu anisaidie naomba Gani naweza pata namna ya kuwasiliana Na Ruby Fish farm iliyopo bagamoyo.Iwe email,namba ya simu.asante.
Wadau naomba mtu anisaidie naomba Gani naweza pata namna ya kuwasiliana Na Ruby Fish farm iliyopo bagamoyo.Iwe email,namba ya simu.asante.
Asante boss,vp nao wamesema wanaendelea au wamemaliza?Nimebahatika kutembelea banda lao hapa SABA SABA namba Yao ya MAPINGA BAGAMOYO NI 0715646706