mkopo...mkopo.....mkopo.....

mkopo...mkopo.....mkopo.....

mysteryman

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
1,080
Reaction score
395
wakuu ninahitaji mkopo wa milion moja wenye riba nafuu.....nitarejesha baada ya miezi minne na uwezo wangu au riba isizidi laki tatu kwa miezi yote minne.....nina kiwanja kipo kinyerezi, kadi ya gari au leseni na tin namba ya biashara.....vyote vyaweza tumika kama bondi.......mwenye uwezo wa kunisaidia tafadhali......
 
Wako wengi ngoja nikuulizie.

Pia hata mimi nahitaji 3.5 mil nitaweka bond ya hati ya makazi kwa miaezi miwili ,riba iwe reasonable ili kusije kuwa mgogoro, tuwasiliane kwa namba 0715381371
 
Back
Top Bottom