Kama unaweza safiri hadi Dar fika chuo cha DIT wataipima nankukuambia ni kitu gani.Wakuu habari ya jumapili,jana katika pilika zangu za kilimo nikakutana na hivi vipande vya vimawe vinatoa mg'ao je ni dhahabu au kitu gani kwa anaejua msaa pleaseView attachment 518895View attachment 518896
Ardhi yako Ina uwezekano wa kuwa na gold.Hiyo inaitwa pyrite (foolish gold),ila inapopatikana hiyo huwa kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo na dhahabu,chuma etc
Harufu ya utapeliMaeneo gani upo...?
Hahahaaaaa kwa asilimia kubwa dhahabu ina mkondo akikutajia eneo ni rahisi ku predict possibility yake ya kua dhahabu..Harufu ya utapeli
Nadhani naifahamu hiyo miamba! Lkn kabla sijakwambia inaitwaje, niambie, je ni vizito kiasi flani?Wakuu habari ya jumapili,jana katika pilika zangu za kilimo nikakutana na hivi vipande vya vimawe vinatoa mg'ao je ni dhahabu au kitu gani kwa anaejua msaa pleaseView attachment 518895View attachment 518896