Upandishaji wa nguruwe

Upandishaji wa nguruwe

chichimizi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,074
Reaction score
339
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?

Msaada kwa anayeelewa.

[HASHTAG]#commred[/HASHTAG] Chichimizi
 
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?

Msaada kwa anayeelewa.

[HASHTAG]#commred[/HASHTAG] Chichimizi
Na wwe hujaona wanyama wa kufuga mpaka ngurue?
 
Kuna athari kubwa tu....Inbreeding inaitwa. watoto watakaozaliwa wanadumaa na kuna uwezekano kuzaa watoto wachache
 
Hata mbolea zinalipa. Haya ila hao wadudu si wakufuga. Uchafu mtupu.
 
Kama huelewi basi bora ukae kimya ...

Ngoja wataalamu waje watusaidie majibu
 
Back
Top Bottom