Nick Furry
Senior Member
- Sep 23, 2016
- 182
- 185
Heloooo...Naitwa Nick...nipo Morogoro mjini...ni mwanafunzi wa shahada ya sayansi, uzalishaji na teknolojia ya wanyama (Agricultural Animal science and production)..Mungu akipenda mwezi huu naweza nikahitimu.
Baada ya kuhitimu nina mpango wa kuanza kufuga kuku wa kisasa (broilers and layers) na wa kienyeji (locals) hapa Morogoro...banda nishapata (approx. 1500 chicken capacity)..nina incubator ndogo (120-140 eggs capacity)..nina mtaji wa sh. 800,000/= (cash on hand)......nina ujuzi wa menejimenti ya mifugo almost kila aspect (feeds formulation.., diseases diagnosis, control and treatment...biosecurity measures...housing..breeding...etc)
ninachokitaka hapa jukwaan ni mentor anayefanya na mwenye uzoefu wa hii biashara kwa hapa morogoro...at least awe na kuku 1000 (commercially)..namuhitaji sana mtu wa namna hii coz nataka nipate elimu ya mtaani kuhusu ujasiriamali....haitojalisha elimu alonayo cha msingi awe ana ujuzi wa hii biashara hasa upande wa masoko.
Pia nahitaji business patner...awe muhitimu wa diploma au shahada ya biashara (bussines administration, accountant, procurement, agribusiness, economics....etc)....awe anaishi Morogoro and awe na ujuzi wa kutafuta na kusimamia masoko....will be better kama ataweza kuwekeza at least tsh 600,000/=....
Mainly ni huyo Mentor ndo namihitaji zaidi..pleaseeee...nipo tayari kufanya kazi kwake for one month just to learn.
0755764161...that is my phone number