Kuanzisha Car Rental in Iringa Region

Kuanzisha Car Rental in Iringa Region

Starkwood

Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
62
Reaction score
25
Mambo vipi wadau, nimekuja mbele yenu kuwaomba ushauri. Biashara ya kukodisha magari kwa dar es salaam ni kati ya biashara zinazolipa sana. kwa wale wadau wanaoishi iringa au waliowahi kufika iringa. Je nikianzisha biashara kama hii ya kukodisha magari kwa mji wa iringa italipa au. naombeni mawazo yenu na pia kuna chochote cha kuongezea. natanguliza shukrani
 
Magari ya aina gani mkuu? Kama mafuso sawa kule kilimo kipo juu na uhitaji wa magari ya kusafirishia mizigo upo juu ila kama magari ya starehe mmmmmh do it at your own your own risk
 
Mambo vipi wadau, nimekuja mbele yenu kuwaomba ushauri. Biashara ya kukodisha magari kwa dar es salaam ni kati ya biashara zinazolipa sana. kwa wale wadau wanaoishi iringa au waliowahi kufika iringa. Je nikianzisha biashara kama hii ya kukodisha magari kwa mji wa iringa italipa au. naombeni mawazo yenu na pia kuna chochote cha kuongezea. natanguliza shukrani
mkuu mradi ulifanikiwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom