Wanafizikia nielezeni,
Hii kitu nimeshaiona mara nyingi na bila shaka baadhi yenu pia.
Unanunua pasi mpya ya umeme dukani na waya(cable) yake imenyooka vizuri kabisa ila baada ya muda waya huo...
Poleni na hongera kwa majukum ya Leo
Ninaomba msaada wakuu
Kuna app ambayo inaweza kusev charge kwenye simu maana hii kwangu ni shida
Nina simu aina ya w40 tecno chaji inanisumbua sana
baada ya bloggers wengi kukata tamaa baada ya google kufunga adsense za blogs sasa nikaumiza kichwa nikaja na hii hapa mbinu ya kutumia youtube ads kwa kuziembed kwenye blog yako then unaifinya...
Naomba msaada, nawezaje kupata Application ya PC Windows yenye uwezo wa kutengeneza matokeo ya wanafunzi (form 1 hadi 6), na pia kama inauwezo wakutoa report forms?
Vile vile nahitaji application...
Wadau naomba tufahamu nikifungua kitu kwakutumia incognito mode kwenye chrome browser inawwza kuzuia mtu asiweze kupata location nilipo(hacking) kama nitakavyotumia VPN?
Nina TV ya Sony Bravia 24 inch ilipigwa na radi.Kwa hiyo natafuta Sony service centre niwasiliane nao waweze kunibadilishia motherboard ya hii TV.Kwa ambaye ana contact nao naomba anisaidie.
Nina matatizo mawili kwanza computer yangu ni HP pavilion g4 inanguruma abnormal kwenye feni baada ya kushusha window 7 na kuweka nyingine same type. Pili kwa wale wanaojua kutumia statistic...
Wakuu nisaidieni jinsi ya kumblock mtu kwenye group la whatsup ,kwa maana mimi kila nikimblock mijitu ambayo inapost pumba kwenye group bado nayaona tu pia na post zangu wanaziona mpaka nachukia...
Salam wakuu,
Kwa wale wanaopenda kugain followers insta (even 500) per day nakuendelelea kwa lengo la kutangaza biashara zao, nk. Download app inaitwa Real followers for instagram ni app ambayo...
Wadau nimeletewa simu na ndugu yangu kutoka marekani kwa trump, sasa cha kushangaza haisomi sim card za hapa kwetu, naombeni msaada jaman ktk hlo nafanyaje?
Kutokana na facebook ilivyo unaweza kuombana urafiki na mtu usiyejua tabia zake au mienendo yake, urafiki utakuwepo kama haupo kwa siku kadhaa kisha kuna siku unaamka unakuta notification kua...
Habari!
Naombeni msaada hapo, nimefanikiwa kuweka biss keys hapo ktk wiz8035, tatizo ni namna ya ku save, nabonyeza wapi? Maana hicho chekundu kimeandikwa save lakini kama hakifanyi kazi.
Ahsante!
Kwa wale watumiaji wa instagram wanafaham kwamba ni almost impossible ku download au ku save picha moja kwa moja kutoka instagram, zaidi wengi huamua ku screenshot.
Sasa ku save picha au video...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.