mishe bwoy
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 116
- 34
Follow this link YOUTUBE MONEY
HUU NI UTAPELI MWINGINE shetani ni yule yule lakini kaja kwa namna tofautiUnapata hela za bure za you tube afu unauza kitabu mkuu! Hapo ndo mashaka yanapoanzia.
dah mkuu kwani kufungua youtube adsense account si ndani ya masaa mawili inakua successfully full approved kuna haja gani ya hicho kijarida chako.... hicho kitabu kina nini haswa... NAKUPA USHAURI.. ni bora ukauza adsense account za youtube kwa sh 5,000 kuliko ukajidanganya na hivyo vi-notes, notes na material mbalimbali yamejaa online especially google..Ni ukweli usiopingika now blogging kibongobongo kwa wale wanaotumia adsense kwenye blog zao za kiswahili hamna kitu wanaambulia zaidi ya kufungiwa ac zao,matangazo kutokuonekana coz ya unsurported anguage nk,
Sasa habari ya mjini sasa imehamia youtube,,Asikudanganye mtu youtube inalipa ,WCB wamemnunulia gari Rayvvany kwa pesa waliopata youtube,Ukitaka maelezo yote kamili yameandikwa ===>>PESA ZA YOUTUBE
dah mkuu kwani kufungua youtube adsense account si ndani ya masaa mawili ikua successfully full approved kuna haja gani ya hicho kijarida chako.... hicho kitabu kina nini haswa... NAKUPA USHAURI.. ni bora ukauza adsense account za youtube kwa sh 5,000 kuliko ukajidanganya na hivyo vi-notes, notes na material mbalimbali yamejaa online especially google..
elimu sio lazima ni hiari ya mtuUnapata hela za bure za you tube afu unauza kitabu mkuu! Hapo ndo mashaka yanapoanzia.
sawa mkuu ni utapeli hujakoseaHUU NI UTAPELI MWINGINE shetani ni yule yule lakini kaja kwa namna tofauti
sawa mzeee wa kitonga usijali kaa hapo watakuja kutoa ufafanuzihili jukwaa tunawekaga vitu wazi.....ka vp nenda kaweke post jukwaa la biashara na matangazo
kuna members wengi tu humu kama kina chiefmkwawa na njunwa wanatoa ushauri bure kabisa
na ataenunua kitabu akiupload humu tukisome wote
shida sio kufungua mkuu,kuna methods za kukuza suscrubers,kutarget audiance ili upate imoresion zenye quality nzuri ili kuwa na rpm na cpc kubwa kidogo!!!! nk..sasa kama ni utapeli sijalazimisha mtu anunuee😎dah mkuu kwani kufungua youtube adsense account si ndani ya masaa mawili inakua successfully full approved kuna haja gani ya hicho kijarida chako.... hicho kitabu kina nini haswa... NAKUPA USHAURI.. ni bora ukauza adsense account za youtube kwa sh 5,000 kuliko ukajidanganya na hivyo vi-notes, notes na material mbalimbali yamejaa online especially google..
hah sana tuAnapiga mishe kama ilivyo ID yake
Hahahamwizi at work
hata hizo njia za ku-target audience, kupata subscribe.. zote si zipo internet for free kuna haja gani ya kununua kitabu..Ninavyojua mimi kitabu ili kiuze lazima kiwe na unique contents..Haya mambo yanahitaji ubunifu sio siasashida sio kufungua mkuu,kuna methods za kukuza suscrubers,kutarget audiance ili upate imoresion zenye quality nzuri ili kuwa na rpm na cpc kubwa kidogo!!!! nk..sasa kama ni utapeli sijalazimisha mtu anunuee😎
By default wewe ni nguli wa youtube au blogger kwa nini hutaki wenzako wajue ????? roho ya kwa nini!! et zipo internet, Ila sawa skujui hunijui yaishie hapa brohata hizo njia za ku-target audience, kupata subscribe.. zote si zipo internet for free kuna haja gani ya kununua kitabu..Ninavyojua mimi kitabu ili kiuze lazima kiwe na unique contents..Haya mambo yanahitaji ubunifu sio siasa