Cant be opened using the built-in adminstration account wakuu huu ujumbe unajitokeza sana ktk baadhi ya apps kama kamera,store na zinginezo natumia win 10 sasa niliwahi restart machine na kucreate...
kwa muda mrefu kidogo nilikua napata kuona bure baadhi ya stesheni za startimes kupitia code no 530 570 578 ila wiki ya pili zimepotea na kila niki sachi hazipatikani tena ama wamestuka?
Wakuu ni jinsi gani ya kutambua mtu mnayewasiliana nae kwa email hususani toka nje ya nchi mfano uingereza anataka kukufanyia wizi au utapeli wa mtandao.Mwenye mfano toa!maana kuna jamaa yangu leo...
Kosa ambalo watu wengi huwa tunalifanya katika topic ya Computer Virus ni kujumuisha Worm au trojan kama Virus,Haya maneno huwa yanatumika sana midomoni mwetu kana kwamba yote ni kitu kimoko,Sio...
Maendeleo makubwa katika kuhifadhi nishati ya jua itapelekea watanzania wengi kutotegemea umeme wa TANESCo. Teknologia ya kuhifadhi nishati jua kwenye battery imeimarika kikwazo ni bei ambayo...
Simu yenyewe ni condor C6 , ni simu nzuri sana na kwa bahati mbaya ilianguka na display imekufa , wadau kwa hapa dar naweza pata wapi display ya simu hii au simu yenyewe naweza kuipata maeneo gani...
Am proud to Announce an alpha version of Kasuku.
Download setup and Install it.
Tell us what is missing or what should be changed here.
Enjoy "Sweet Kasuku Sound!" :)
Wakuu habari zenu..
Ubisoft mwishoni wa mwez huu wa pili wametoa game ya Far cry primal ni game moja nzuri sana ya Action ingia youtube uione..
Game ina ukubwa kama wa 11Gb mi ndo imebaki...
Kampuni inayoshika rekodi gsmarena.com kipengele cha simu kukaa na chaji zaidi,yaani endurance rating, ya Gionee,inatarajia kuachia simu nyingine itakayoshika rekodi tena ya endurance rating,simu...
Wapendwa naomba kupata app ambayo itaniwezesha ku root simu tajwa hapo juu bila kutumia computer, hapo awali nilikuwa na tecno phantom plus nikairoot kwa kutumia kingroot lkn nilipojaribu kwa simu...
Wanajamii naomba msaada,
Simu yangu iPhone 4 niliagiziwa na kaka yangu kutoka Japan shida yake ukiweka line haisomi mtandao inaomba pin code kwa yeyote anae faham anisaidie nitachangia gharama...
Ndugu zangu naomba ushauri wa matibabu .Nilikuwa naumwa Typhoid nikatumia vidonge 84 Kwa wiki 2.Wakati naendelea Na matibabu nilianza kusikia maumivu ya kichwa upande wa kushoto Na kulia Na nyuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.