Firefox
Senior Member
- May 10, 2011
- 127
- 73
Kwa wale watumiaji wa instagram wanafaham kwamba ni almost impossible ku download au ku save picha moja kwa moja kutoka instagram, zaidi wengi huamua ku screenshot.
Sasa ku save picha au video moja kwa moja copy "share url" ya hiyo instagram video au picha, halafu fungua link hii [www.savefrominsta.com] then paste ile link itakupa button ya kudownload picha yako au video yako.
Ni: www.savefrominsta.com
Ahsanteni!