Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari Wadau, Ninatumia blackberry torch 9810, kama siku mbili zimepita imeanza tatizo ambalo nashindwa kulielewa. Kifupi ni kwamba screen yote imekuwa nyeupe na kuna maandishi rangi nyeusi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za jioni wadau.. Ninatumia laptop ya IBM T500 na kwa kawaida inakuwa na in-built sim slot ambayo unaweza kuweka kadi ya simu ya 3G kwa ajili ya kujiunga na data.. Sasa nimejaribu kuweka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wapi naweza jifunza graphics for funny?. Nina knowledge na Photoshop pia nina some ideas ya illustrator and little knowledge with indesign.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari waungwana, Nimekuwa nikitafuta namna ya kuunganisha computer system unit moja - watumiaji wanne au zaidi. Kwenye maduka nimekosa hivyo vifaa vya kufanyia connection, nimeenda ofisi moja...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau habarini za jioni Nipo dar...na nimeanzisha kibanda cha kuuza movie na series (Za ulaya na Marekani) kwa wateja hasa vyuoni.Sasa nahitaji kuteka soko kwa kutumia software ambayo kama nikimpa...
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Habari za muda huu wana JF. Napenda kuwataarifu kuwa sasa kuna decoda zijulikazo kama strong 4922 ambazo zipo vizuri sana kwa kupata chanel nyingi zaidi kuliko decoda nyinginezo...
1 Reactions
135 Replies
31K Views
Ukiachana na password ya kufungulia computer, kuna password ambayao hutumika kuweka usalama (security) ya computer kwa ajili ya virus, ku install program au kubadili progaram za computer, sijui...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Smartphone ni simu ya mkononi inayotumia "mobile operating system" kama vile "ios","Blackberry 10 Os","Windows mobile 10 OS","Android,Sailfish","Tizen" kwa kutaja chache inayofanya kazi kama vile...
5 Reactions
13 Replies
5K Views
Janani, anatafutwa fundi ambae ataweza kutengeneza local Network mkoani mtwara... room ziko tano ambazo inatakiwa computer zake zote ziwe shared kama uko vizuri ni pm
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi niko Moshi, Ninatumia DSTV na Azam. Niliweka Azam as nilihisi labda wataweza wakawa wanaonyesha EPL, Italy, Germany na Spain. Lakini hawajaweza mpaka sasa! Natumia DSTV kwa sasa ila...
2 Reactions
275 Replies
30K Views
Kwa wale fans wa Windows phone, Tayari annivesary update kwa windows phone ishatolewa kwa baadhi ya simu zinazotumia windows. Binafsi natumia Lumia 640, Mwaka jana nilisema ngoja nitest ladha ya...
1 Reactions
97 Replies
9K Views
Naishi Mbezi Njia ya kwenda Makabe. Nimefunga Azam dish yapata miezi 10 sasa. Bahati mbaya siku ya tatu leo limepoteza chanel zote local isipokuwa Azam sport HD, Star Tv na Tv1. Chanel za nje...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habaru wanajamii naomba kuuliza kati ya window 10 na 8.1 pro ipi nzuri na effective na pia program gani nyingine ni nzuri ku i keep pc yako safe secured with high speed.........
0 Reactions
67 Replies
14K Views
Wadawa naomba kufahamishwa kati ya Simu hizi mbili Tecno n8 na Huawei y3ii IPI inafaa kwa matumizi ya kawaida na ukaifurahia
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Wezi wote walaaniwe. Nimeeibiwa LED TV leo wadau, kuna jinsi ya kuifunga? Natanguliza shukrani.
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Kwa anae hitaji kazi ya admin / marketing snapandsale.com doors open. Email: amudibarongo@gmail.com whatsapp: +917842191789
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni chuo gani kizuri Tz kwa kusomea app developing
0 Reactions
3 Replies
659 Views
habari za kazi waungwana twende moja kwa moja kwenye topic. siku za hivi karibuni biashara ya blog imekua ikikua kwa kasi sana hapa nchini kwetu.na vijana wengi wamekua wakitamani sana kuitumia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nakerwa na alama ya sms kwenye kisimbusi cha startime kwenye TV yangu msaada namna ya kutoa
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Naombeni msaada jaman Nina desktop yangu nimebdlisha harddisk inagoma kuwaka msaada jaman...
0 Reactions
3 Replies
710 Views
Back
Top Bottom