Msaada wa application ya kuhifadhi chaji kwenye simu

mjukuum

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
5,257
Reaction score
2,849
Poleni na hongera kwa majukum ya Leo
Ninaomba msaada wakuu
Kuna app ambayo inaweza kusev charge kwenye simu maana hii kwangu ni shida

Nina simu aina ya w40 tecno chaji inanisumbua sana
 
Kama ni tecno W4 . hiyo simu ina uwezo mkubwa wa kukaa na chaji. Restore au Peleka kwa fundi akaichunguze kama battery ina shida.
 
Ndio nashindwa kuelewa nikajua labda kuna app ya kusev chag
 
Back
Top Bottom