Msaada kwa wataalam wa computer software

kioo93

Member
Jun 1, 2016
38
19
Nina matatizo mawili kwanza computer yangu ni HP pavilion g4 inanguruma abnormal kwenye feni baada ya kushusha window 7 na kuweka nyingine same type. Pili kwa wale wanaojua kutumia statistic analysis SPSS yangu nikiingiza data nikitaka kuserve inastack na kutofanya kazi zaidi ya kuminimize tu
 
Ni vema kama ingewezekana kuiona ili kujua tatizo vizuri kuliko kubashiri
 
Nina matatizo mawili kwanza computer yangu ni HP pavilion g4 inanguruma abnormal kwenye feni baada ya kushusha window 7 na kuweka nyingine same type. Pili kwa wale wanaojua kutumia statistic analysis SPSS yangu nikiingiza data nikitaka kuserve inastack na kutofanya kazi zaidi ya kuminimize tu
hizo hp pavilion zinatumia chip(GRAPHIC) ya AMD na processor za AMD so hua zinaunguruma sana unaweza kuweka heat cooling compound kwenye processor na vga kupunguza tatizo pia tatizo la ku-stack angalia kama umeweka drivers so display(graphic drivers yaweza kuwa ni tatizo) ni kawaida kwa P.C ku-stack kwenye videos au baadhi ya software kubwa kama hiyo ya SPSS kama hakuna drivers sahihi za graphics
 
Checkout baadhi ya softwares ambazo huztumii kwa sana ( not necessary) eg. blue stacks list then uninstall them. Try it may work!!
 
hizo hp pavilion zinatumia chip(GRAPHIC) ya AMD na processor za AMD so hua zinaunguruma sana unaweza kuweka heat cooling compound kwenye processor na vga kupunguza tatizo pia tatizo la ku-stack angalia kama umeweka drivers so display(graphic drivers yaweza kuwa ni tatizo) ni kawaida kwa P.C ku-stack kwenye videos au baadhi ya software kubwa kama hiyo ya SPSS kama hakuna drivers sahihi za graphics

Hiyo cooling compound nitaipataje sababu mafundi wengine sio wakuamini anaweza weka for temporary I'll urudi tena
 
Back
Top Bottom