Wiztech wiz80235

Wiztech wiz80235

josephjul40

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
218
Reaction score
40
Habari!

Naombeni msaada hapo, nimefanikiwa kuweka biss keys hapo ktk wiz8035, tatizo ni namna ya ku save, nabonyeza wapi? Maana hicho chekundu kimeandikwa save lakini kama hakifanyi kazi.

Ahsante!
 

Attachments

  • 1439952599180.jpg
    1439952599180.jpg
    50.4 KB · Views: 174
mkuu hiyo rcv ni pasua kichwa sana,achana nayo na kama ni ya mteja mshauri anunue rcv ya maana
 
Poa kaka, nikafikiri niweke software, nilipoweka tu software hata ile option ya ku enable kupatch haitaki tena
 
Back
Top Bottom