Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,378
Wanafizikia nielezeni,
Hii kitu nimeshaiona mara nyingi na bila shaka baadhi yenu pia.
Unanunua pasi mpya ya umeme dukani na waya(cable) yake imenyooka vizuri kabisa ila baada ya muda waya huo unajisokota na kujipinda kiasi hata zile waya ndogo za positive na negative zinatokeza nje nazo zimejisokota.
Ni kitu gani kinasababisha hili jambo?