EDUCATIONAL PC APPLICATION

Matti

Member
Jan 24, 2011
94
5
Naomba msaada, nawezaje kupata Application ya PC Windows yenye uwezo wa kutengeneza matokeo ya wanafunzi (form 1 hadi 6), na pia kama inauwezo wakutoa report forms?

Vile vile nahitaji application ya kutengeneza photo entry za form 2, 4 na 6 kulingana na format ya NECTA.
 
Photoentry ni file ambayo unatengeza unaweka picha za passport zenye ukubwa wa file kb 4 tu na vipimo vya urefu na upana vilivyoelekezwa na NECTA.Tatizo ni kuedit hzo picha mpaka kb 4 tu kutoka zaidi ya 300kb

software nyingi ikiwemo photoshop inafanya hivyo, baadae jioni kuna software nitaijaribu nikupe inaconvert picha zote kwa pamoja
 
Naomba msaada, nawezaje kupata Application ya PC Windows yenye uwezo wa kutengeneza matokeo ya wanafunzi (form 1 hadi 6), na pia kama inauwezo wakutoa report forms?

Vile vile nahitaji application ya kutengeneza photo entry za form 2, 4 na 6 kulingana na format ya NECTA.
Ni kwa matumizi yako binafsi au shule ninayo ambayo ni kwa ajili ya shule inafanya vyote hvyo hadi transaction history kama malipo ya ada
 
Back
Top Bottom