Sony Service centre wanapatikana wapi?

Sony Service centre wanapatikana wapi?

Kibukila

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
925
Reaction score
371
Nina TV ya Sony Bravia 24 inch ilipigwa na radi.Kwa hiyo natafuta Sony service centre niwasiliane nao waweze kunibadilishia motherboard ya hii TV.Kwa ambaye ana contact nao naomba anisaidie.
 
Nenda kuna mtaa nyuma ya jengo la ushirika pale kariakoo..utaona vibao vyao vya maelekezo..niliwapeleka simu yangu ila sina uhakika kama wanarekebisha na runinga.
 
Nenda kuna mtaa nyuma ya jengo la ushirika pale kariakoo..utaona vibao vyao vya maelekezo..niliwapeleka simu yangu ila sina uhakika kama wanarekebisha na runinga.
Ushirika mnazimmoja.
 
Mie nna psp vita inazngua kuingiza games sjui ntapata wap hao jamaa
 
Back
Top Bottom