K Kingswat Member Joined Dec 4, 2014 Posts 26 Reaction score 3 Nov 22, 2016 #1 njia bora ya malipo ni ipi kati ya hizi, Global digitalpay perfect money moneybpokers paypal payza. msaada tafadhali
njia bora ya malipo ni ipi kati ya hizi, Global digitalpay perfect money moneybpokers paypal payza. msaada tafadhali
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,429 Reaction score 27,132 Nov 22, 2016 #2 *Paypal Ni salama, inaaminika na ipo supported na web/kampuni nyingi sanaaa.. Nyingine siwez kuziongelea kutokana na kutokua na uzoefu nazo labda zinaweza kuwa bora kuliko paypal ila binafsi nakushauri paypal Sehemu nyingi mi naingia na kutoaga ma order mengi tunatumia paypal..
*Paypal Ni salama, inaaminika na ipo supported na web/kampuni nyingi sanaaa.. Nyingine siwez kuziongelea kutokana na kutokua na uzoefu nazo labda zinaweza kuwa bora kuliko paypal ila binafsi nakushauri paypal Sehemu nyingi mi naingia na kutoaga ma order mengi tunatumia paypal..