Zipo forum kibao kama jf hii ni kutokana na ukweli kuwa wanatumia V-bulletin I guess ni engine ya kurun forums.Kuna forum mm nishawahi ingia ipo kama jf vilee mwanzo mwishoo.
kutumi v-bulletin syo tatzo,ila unakuta hadi content view ziko hvo hvoZipo forum kibao kama jf hii ni kutokana na ukweli kuwa wanatumia V-bulletin I guess ni engine ya kurun forums.
So hawaja copy ila ni kuwa wanatumia software moja.