e-wallet App

e-wallet App

upload_2016-11-20_10-35-59.png
 
Kwanza,Ukishapokea hiyo hela emu tutajie maeneo makubwa hapa DSM ambako kuna agents ambao unaweza withdraw cash

Pili,Tuoneshe tovuti ambako wana accept hiyo e-wallet!

Hela unayomtumia mtu kutoka kwenye account yako wewe unakua umeipata wapi?

Ndo maana watu wanaomba maelezo kwa kusoma tu hiyo descrption ya PlayStore mtu sio rahisi kuelewa
 
Maanake unaweza kutuma pesa, kutoa pesa na kupokea pesa, kutoka kwa mtu mwingine mwenye e-wallet bila makato ya ziada na bila kujali anatumia line ya kampuni gani.
 
Kwanza,Ukishapokea hiyo hela emu tutajie maeneo makubwa hapa DSM ambako kuna agents ambao unaweza withdraw cash

Pili,Tuoneshe tovuti ambako wana accept hiyo e-wallet!

Hela unayomtumia mtu kutoka kwenye account yako wewe unakua umeipata wapi?

Ndo maana watu wanaomba maelezo kwa kusoma tu hiyo descrption ya PlayStore mtu sio rahisi kuelewa
Pesa itawekwa na kutolewa kwa mawakala wao, hii ni project on development bado aijawa launched.
It's GREAT PROJECT with potential.
 
Asante kaka kwa kunisaidia kutoa maelezo mazuri
 
Back
Top Bottom