Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wadau wa Tech Naomba kupewa msaada wa technique ya kuongeza traffic katika tovuti, Nawasitani wa kutembelewa kwa siku 1K - 1.5K nataka niweze ku move kutoka hiyo stage kwenda kwenye 5k - 10...
1 Reactions
0 Replies
670 Views
Nahitaji kujua wapi naweza pata hizi vitu hapa Dar-es-Salaam.Amazon na Alibaba naona zipo nyingi tu nahisi hata bongo zitakuwepo the qn is where. Mi ni miongoni mwa watu ambao hujikuta hawahitaji...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Mambo zenu,naomba mnisaidie kuchagua kati ya tv hizi: SAMSUNG LG SONY HEISENCE SOLSTAR Zote ni inch 32 na price zao zinarange sawa except kwa SONY iko juu kidogo kuliko zingine hapo...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Nahitaji kudownload software za computers mfano Jet audio,adobe,vlc na zngine je? Nifanyeje ili niweze kudownload kma vl tunatumia PLAY store za kwenye simu? ??
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Mmeamkaje wadau,account yangu ya insta inanigomea kufollow marafiki wapya pia kuwafollowback walionifollow mimi tatizo linafikisha mwezi sasa.Tatizo linaweza kuwa nini
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nimeibiwa simu yangu aina ya TECNO J5 (lakini niliinstall avast anti-theft), nawezaje kuitrack simu yangu niipate? Pia simu yangu ipo rooted, je hata akiiflash naweza kuipata tu?
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu Simu yangu imekuwa na tatizo ya kudownload up automatically alafu zinahitaji Uzi install ukicancell zinarud tena nifanyaje kuzuia hili lisijitokeze manake zimekuwa zikinimalizia...
2 Reactions
42 Replies
7K Views
Hivi kuna uwezekano wa kuaunlock hizi modem maana ni tofauti kabisa na modem tulizozea kwa sababu haionyeshi port wala haina dashboard inatumia WEBUI ukiiplug inajikonnect yenyewe automatic...
1 Reactions
48 Replies
16K Views
Unafikiriaje hii technology kupambana na rushwa na ufichaji wa pesa?
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Wapi naweza pata 3d glasses kwa Dar es salaam au mikoa ya karibu au nchi ya jirani ,, nahitaji in large quantity
0 Reactions
13 Replies
3K Views
bila shaka baadhi yenu hii logo si ngeni machoni penu. branding wise,hii ni moja kati ya logo inayonivutia.nikaweka nia siku moja nikipata wasaa nijaribu kui-recreate kwa mbinu na maarifa yangu...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
NAITAJI MWEYE UJUZI WA MAMBO YA WEBSITE PAMOJA NA SYSTEM NETWORKING, KWA AJILI YA MATUMIZI YA KISHULE ZAIDI.. NAPATIKANA MKOANI MUSOMA . N0 (0765813311)
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Wakuu, Nina modem ya Halotel nahitaji kuitumia kwa line zote.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za muda huu wangwana wa JF ,ni matumaini yangu kuwa mna afya njema , na kama ni tofauti na hivyo Mungu awape nafuu mpone haraka, Dhumuni kuu la kuandika uzi huu ni kutaka kufahamu sifa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Samahanini jamani, nimekuwa nashindwa kuzichukua baadhi ya video kwenye istagram, kwahiyo naomba msaada wenu mnijuze downloader itakayoniwezesha kupakua video bila shida.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Msaada kwa yule anajua app nzuri ya kublock calls and txt for iphone and adroid
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wataalamu naomba kujua kwa nini keyboard ya laptop, hp, split type haifanyikazi. Nikiweka keyboard remotely controlled inafanyakazi. Tatizo lake ni nini?
0 Reactions
0 Replies
445 Views
Habarin wakuu, Msaada jaman, nmekua natumia trial software kuinstall data zangu, ila sasa mda wake umeisha na siwez ku acces zile data, zile data nmeziingiza nina zihitaji, msaada kwa mawazo nje...
0 Reactions
4 Replies
692 Views
Nina Desktop HP yenye Windows 7 ULTIMATE. Nimeconnect printer HP inaleta madudu haya: 1. Default printing inakataa- default printer connection inakataa 2. It does not print excell and Powepoint...
0 Reactions
0 Replies
514 Views
Kama kuna mtu yeyote mwenye uzoefu na biashara ya mtandao wa youthnize. come anipe experience na mimi nijiunge
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Back
Top Bottom