Windows choice: Ipi ni nzuri kati ya hizi?

Innocenthezron

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2016
Posts
393
Reaction score
472
Habaru wanajamii naomba kuuliza kati ya window 10 na 8.1 pro ipi nzuri na effective na pia program gani nyingine ni nzuri ku i keep pc yako safe secured with high speed.........
 
Mkuu install window 8 ndiyo nzuri na pia inasoftware nyingi.
-Window 8.1 kuna baadhi ya program inakataa mfano wale wanaotumia nokia kuna program inaitwa Joikuspot inakataaa kbsa hata kaspersky antivirus inakataaa.
-Window 10 ina program chache na tatizo lake inamwanga mkali na huwezi kupunguza hata ukipiga driver pack solution inakataaaa
-window 8.1.1 nayo ni kimeo tu

Window ninazozikubali ni 7 & 8 pro sbb ni rahisi kutumia, zina features na program nyingi.. Bit 64 ndiyo mwake

UNAWEZA KUZUNGUKA KOTE HUKO WINDOW 10, 8.1, & 8.1.1 LKN MWISHO WA SIKU UTAWEKA WINDOW 7 AU 8 PRO
TATIZO KUBWA JINGINE LA WINDOW 10, 8, 8.1 & 8.1.1 NET FRAME WORK 3.5 HAPO NDIYO MUZIKI WAKE. KM SIYO MTAALAMU UTALAZIMIKA UWEKE 7 TU SBB KUNA PROGRAM ILI ZIFANYE KAZI LAZIMA UINSTALL NETFRAME WORK 3.5
 
Mkuu install window 8 ndiyo nzuri na pia inasoftware nyingi.
-Window 8.1 kuna baadhi ya program inakataa mfano wale wanaotumia nokia kuna program inaitwa Joikuspot inakataaa kbsa hata kaspersky antivirus inakataaa.
-Window 10 ina program chache na tatizo lake inamwanga mkali na huwezi kupunguza hata ukipiga driver pack solution inakataaaa
-window 8.1.1 nayo ni kimeo tu

Window ninazozikubali ni 7 & 8 pro sbb ni rahisi kutumia, zina features na program nyingi.. Bit 64 ndiyo mwake
mkuu kama hujui vitu ni vyema ukauliza ila mambo mengi uliyoandika si kweli
 
mkuu eka windows 10 sababu. ni ya kisasa zaidi ya windows zote na hutahitaji ant virus matumizi ya kawaida windows defender inayokuja na windows 10 inalinda vizuri tu
Mkuu juzi tu niliweka window 10 ilinishinda mwanga ni mkali na haipungui. Zote zina window defender 8, 8.1 & 8.1.1
Km unasimu hapo install Joikuspot halafu isearch kwenye window 8.1 km utaipata?
Unaijua joikusport?
Nimetumia window zote na pia najua mapungufu yake

DRIVER PACK SOLUTION UKIPIGA KWENYE WINDOW 10 HATA HAIFUNCTION KBSA.
 
  • Thanks
Reactions: iw8
mkuu kama hujui vitu ni vyema ukauliza ila mambo mengi uliyoandika si kweli
Siyo km sijui najua kila mtu anazungumza kulingana na experience. Window zote nishazitumia na pia najua mapungufu yake.
Window tena tatizo lake mwanga, hapo utachemka lbda km aina pc zinatofautiana.
Window 8.1 baadhi ya program zinakataaa.
Mpaka sasa window ninayoitumia ni window 8pro bit 64
 
Habari kumradhi
Window ambazo ni nzuri 7& 8 pro ukipata bit 64.
Jaribu window 10 ila kwenye mwanga inabid uvae miwani usiku. Bila hivyo utaitoa tu.
Watu wengi wanatumia 7 & 8. hizi nazikubali mpaka kesho kutwa
Weka window 10 utanipa mrejesho kwenye mwanga.
Window 7,8,8.1 & 10 zina utofauti kwenye mwanga.
Install window 8 punguza mwanga mpaka mwisho, kisha cheki kwenye window 8.1 na pia cheki kwenye window 10.
Window 10 inamwanga sana kuliko 8, 8.1 & 10.
Ukinstall Window 10 haina haja ya kuwasha taa usiku. Yenyew ni tosha kbsa
 
Siyo km sijui najua kila mtu anazungumza kulingana na experience. Window zote nishazitumia na pia najua mapungufu yake.
Window tena tatizo lake mwanga, hapo utachemka lbda km aina pc zinatofautiana.
Window 8.1 baadhi ya program zinakataaa.
Mpaka sasa window ninayoitumia ni window 8pro bit 64
1. tatizo la mwanga inamaana hujaeka drivers za graphics, itakuwa hio windows 8 yako ilikuja na pc na hizo drivers zilikuwa pre installed tayari.

2. joikuspot ni ad-hoc windows zote zina adhoc zinaweza tu kutofautiana jinsi ya kuset

3. hakuna program inayoingia kwenye win 8 ikatae kwenye 8.1 au 10 taja hio program nitest kwenye machine yangu

4.driver pack solution ni takataka watu wanazokusanya pamoja hivyo itategemea zimekusanywa lini, windows 10 ni ya 2015 usitegemee driver pack solution ya 2014 kushuka ikafanya kazi na windows 10. driver toa kwenye website ya laptop yako na sio driver pack.

5.
 
Mkuu install window 8 ndiyo nzuri na pia inasoftware nyingi.
-Window 8.1 kuna baadhi ya program inakataa mfano wale wanaotumia nokia kuna program inaitwa Joikuspot inakataaa kbsa hata kaspersky antivirus inakataaa.
-Window 10 ina program chache na tatizo lake inamwanga mkali na huwezi kupunguza hata ukipiga driver pack solution inakataaaa
-window 8.1.1 nayo ni kimeo tu

Window ninazozikubali ni 7 & 8 pro sbb ni rahisi kutumia, zina features na program nyingi.. Bit 64 ndiyo mwake
Uliyo yaongea yote sio ya kwel
 
Uliyo yaongea yote sio ya kwel
Ni mtazamo wako. Kila mtu anafunguka kulingana na uzoefu. Sasa km ww uelewa wako unamtegemea mtu mwingine. Shauri yako.
Mm window zote nimetumia mkuu, najua mapungufu yake.
Au kwa vile Mkwawa aliposema window 10 ni nzuri? Hakuna la maana kwenye window 10 zaid ya kucopy kweny window 8.
NINGEKUONA MTU WA MAANA SANA KM UNGEKUJA NA MTAZAMO WAKO.
HALAFU MKUU UTAMPINGAJE MTU KWA HOJA YA KIJI.NGA NAMNA HIYO? FUNGUKA USIWE KAMA MTOTO WA DARASA LA KWANZA.
 
Kama ww siyo bishoo ,ni mtu wa kazi

Window 7 inakufaa

Window7 ndio best
 
Mkuu juzi tu niliweka window 10 ilinishinda mwanga ni mkali na haipungui. Zote zina window defender 8, 8.1 & 8.1.1
Km unasimu hapo install Joikuspot halafu isearch kwenye window 8.1 km utaipata?
Unaijua joikusport?
Nimetumia window zote na pia najua mapungufu yake

DRIVER PACK SOLUTION UKIPIGA KWENYE WINDOW 10 HATA HAIFUNCTION KBSA.
Windows 10 nimetumia na mwanga unapungua kama kawa. labda pc yako kimeo.
 
JF NI JUKWAAA HURU NA KILA MTU ANAMTAZAMO WAKE. KUNA WENGINE WANAJIONA WAO NI BORA ZAIDI KULIKO WENGINE. NI VIZURI MAWAZO YA MTU YAHESHIMIWA KM UNAJIONA NI BORA SANA KWANN BADO MPAKA LEO UNATUMIA SOFTWARE ZA WENGINE?
Kwann usitengeneze zako km ww ni nondo sana? Mm nimeeleza kulingana na uelewa wangu halafu from nowhere mtu anasema ''si kweli'' halafu anakaa kimya, huu si ujinga kiwango cha PHD.
Km mtu kakosea ni vizuri ueleze from A-Z na siyo kukaa kimya.
CHA KUSHANGAZA MTU ANAYEJIONA BORA KULIKO WENGINE BADO ANATUMIA VITU ALIVYOTENGENEZA MWANAUME MWENZAKO.
 
Ni mtazamo wako. Kila mtu anafunguka kulingana na uzoefu. Sasa km ww uelewa wako unamtegemea mtu mwingine. Shauri yako.
Mm window zote nimetumia mkuu, najua mapungufu yake.
Au kwa vile Mkwawa aliposema window 10 ni nzuri? Hakuna la maana kwenye window 10 zaid ya kucopy kweny window 8.
NINGEKUONA MTU WA MAANA SANA KM UNGEKUJA NA MTAZAMO WAKO.
HALAFU MKUU UTAMPINGAJE MTU KWA HOJA YA KIJI.NGA NAMNA HIYO? FUNGUKA USIWE KAMA MTOTO WA DARASA LA KWANZA.

Window ☒
Windows ☑
 
Windows 10 nimetumia na mwanga unapungua kama kawa. labda pc yako kimeo.
Mkuu hili jukwaa siyo la watu wachache. Ni vizuri kuheshimu mawazo ya mtu. Sijakulazimisha unaquote. Nimeeleza kulingana na uzoefu wangu.
Sasa km mtazamo wangu na wako ni tofauti ni vizuri upite kushoto tu. Hatupo hapa kubishana, tupo kwa ajili ya kuelimishana.
Kwahiyo mawazo ya mtu yaheshimiwe.
KM ULIKUWA NA UCHUNGU SANA NA MTOA UZI KWANN HAKUW MTU WA KWANZA KUCOMMENT?
 
Mkuu install window 8 ndiyo nzuri na pia inasoftware nyingi.
-Window 8.1 kuna baadhi ya program inakataa mfano wale wanaotumia nokia kuna program inaitwa Joikuspot inakataaa kbsa hata kaspersky antivirus inakataaa.
-Window 10 ina program chache na tatizo lake inamwanga mkali na huwezi kupunguza hata ukipiga driver pack solution inakataaaa
-window 8.1.1 nayo ni kimeo tu

Window ninazozikubali ni 7 & 8 pro sbb ni rahisi kutumia, zina features na program nyingi.. Bit 64 ndiyo mwake
Mbona windows 10 ni very simple kutumia...Haina tofauti na 7
 
JF NI JUKWAAA HURU NA KILA MTU ANAMTAZAMO WAKE. KUNA WENGINE WANAJIONA WAO NI BORA ZAIDI KULIKO WENGINE. NI VIZURI MAWAZO YA MTU YAHESHIMIWA KM UNAJIONA NI BORA SANA KWANN BADO MPAKA LEO UNATUMIA SOFTWARE ZA WENGINE?
Kwann usitengeneze zako km ww ni nondo sana? Mm nimeeleza kulingana na uelewa wangu halafu from nowhere mtu anasema ''si kweli'' halafu anakaa kimya, huu si ujinga kiwango cha PHD.
Km mtu kakosea ni vizuri ueleze from A-Z na siyo kukaa kimya.
CHA KUSHANGAZA MTU ANAYEJIONA BORA KULIKO WENGINE BADO ANATUMIA VITU ALIVYOTENGENEZA MWANAUME MWENZAKO.

Wewe jamaa ni mbishi halafu hujui unachokibishia. Uliyoongea si kweli, na sababu umepewa hapo juu. Lakini still unabisha.

Unasema Windows 10 screen haipunguzi mwanga, umeambiwa solution ni kuwa hujainstall driver bado unabisha.

Unaambiwa security windows 10 ni bora kuliko hiyo 8, bado unabisha.

Unaambiwa software za windows 8 zinakubali katika windows 10 bado unabisha.

Sasa usaidiwe vipi.?
 
mkuu eka windows 10 sababu. ni ya kisasa zaidi ya windows zote na hutahitaji ant virus matumizi ya kawaida windows defender inayokuja na windows 10 inalinda vizuri tu
Nakubaliana nawe.
 
Mbona windows 10 ni very simple kutumia...Haina tofauti na 7
Ilinishinda mwanga ulikuwa mkali sana. Vitufe vya kuongeza mwanga na kupunguza pia vilikuwa havifanyi kazi.
Nikapiga driver pack solution ikakataa. Ikibid niitoe niweke 8pro bit 64.
Hongera sana mkuu, nimependa ulivyooniuliza. Mwingine anakuja ana kuquote, anaandika si kweli analala mbele. Unashindwa kumwelewa alikuwa anataka nn?
 
Back
Top Bottom