Habarini za mida kama hii...naombeni msaada wenu nilihamisha dish langu LA azam kutoka eneo moja kwenda lingine ..hivyo nimelipandisha juu LiMeleta signal ila Chanel zilizokuja sizo...
Kwa wale mlioroot simu zenu, sasa unaweza pata music player hiyo bora kabisa kupita zote ikiwa full version kwa kutumia Lucky Patcher
Karibu kwa maelekezo
Jaman samahann naomba mnijuze application ambayo itanisaidia kubadili sura halisi ya ki2 na kuifanya ilete mwonekano mwngne
Mfano ni picha hii imechenji kdg from original :
Complete and capable data recovery software for rescuing files under almost any conditions including: accidentally deleted files; damaged or formatted hard drive; lost/deleted partition; photo or...
Wakuu habari zenu?Poleni na majukumu! Naomba MSAADA nimepata tatizo la simu yangu niliflash custom ROM jana.Before niliformart kila kitu kwenye recovery mode then nilipotaka kuflash ROM mpya...
Ndugu wanajamvi, nina wazo la biashara ila nilkua nahitaj ushauri wa jinsi ya kulifanikisha wazo langu. Mimi naishi maeneo ya Gongo la Mboto DSM, sijasomea IT ila nina kaujuzi na napendelea...
Watu wengi tumekua tukidharau au kubeza simu zinazotoka China. Mtu unapokuwa na simu ya Mchina basi watu watakutania na kukuona umenunua simu mbovu na ya bei rahisi. Lakini katika siku za hivi...
ningependa kufaham vizuri ni band ipi simu uwe nayo ndo iwe ina support TIGO au VODACOM 4G. maana nina simu ina support 4g lakin hapa tanzania haishik kabisa yaani. na kingine ningependa kutambua...
Wakuu nashukuruni kwa ushauri nimefanikisha ku unbrick phone by sp flash tool kama nilivyopata muongozo kwa baadhi ya watu,tatizo limekuja sim one is not detected while other sim is detected.How...
Jamani cm yangu kila mala inaniambia internal storage full... Nimejaribu kufuta video,picha zote lakn space yake iko vilevile haijabadilika... Nimeclear cache lakn bado tatzo nisaidieni mwenye...
Kampuni ya Samsung Electronic ilitoa simu aina ya Note 7 na ikakubwa na majanga mengi sana ya kulipuka kwa betri na mpaka kupelekewa kupigwa marukuku.
Utani sasa dhidi a hiyo simu
Tazama utani zaidi
Wakuu nimelenga kufanya installation ya whatsapp katika Ipad 3. Nilivyofuatilia nikabaini kuwa ili kufanya hiyo installation ni lazima kuifanyia jaibreaking ( kuondoa vizuizi vya manufacturer)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.