Nimekuandikia kwenye PMJanani, anatafutwa fundi ambae ataweza kutengeneza local Network mkoani mtwara...
room ziko tano ambazo inatakiwa computer zake zote ziwe shared
kama uko vizuri ni pm
Km kazi bado ipo ni PMJanani, anatafutwa fundi ambae ataweza kutengeneza local Network mkoani mtwara...
room ziko tano ambazo inatakiwa computer zake zote ziwe shared
kama uko vizuri ni pm
kama ni moshi ni pm mkuuJanani, anatafutwa fundi ambae ataweza kutengeneza local Network mkoani mtwara...
room ziko tano ambazo inatakiwa computer zake zote ziwe shared
kama uko vizuri ni pm
inasikitisha sana, watu kama hao ndio wanataka kukimbizana na Kenya kwenye East African Community katika soko la ajiri... ukiona kazi imetangazwa mhitaji anaweka no ya simu ili atafutwe ujue huyo ni dalali au mbabaishaji, kuna kazi niliwahi kutangaza kijana mmoja graduate akaweka namba ya simu nimtafute baada ya kumpigia simu nikaanza kumfanyia assessment kichwani alikua mweupe na porojo nyingi ikabidi nikate simu.inasikitisha sana, kazi imetangazwa na mnaona hapa mko wengi mnaohitaji hio tenda halafu mnataka nyie ndo mtumiwe mesej.. ni sawa na kampuni kutangaza nafasi za kazi halafu nyie mnataka kampuni ifate CV zenu majumbani kwenu..
P U M B A V U Z E N U[emoji52] [emoji52]
kutojitambua nalo ni tatizo mkuu ila hatujui tu.inasikitisha sana, watu kama hao ndio wanataka kukimbizana na Kenya kwenye East African Community katika soko la ajiri... ukiona kazi imetangazwa mhitaji anaweka no ya simu ili atafutwe ujue huyo ni dalali au mbabaishaji, kuna kazi niliwahi kutangaza kijana mmoja graduate akaweka namba ya simu nimtafute baada ya kumpigia simu nikaanza kumfanyia assessment kichwani alikua mweupe na porojo nyingi ikabidi nikate simu.