Windows phone fans: Windows phone mobile 10 is officialy out

Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,063
2,000
Kwa wale fans wa Windows phone, Tayari annivesary update kwa windows phone ishatolewa kwa baadhi ya simu zinazotumia windows. Binafsi natumia Lumia 640, Mwaka jana nilisema ngoja nitest ladha ya WP10. Nikaingia katika insider rings na kuupdate kwenda WP10 preview.

Bahati mbaya nilikuwa disappointed sana, kwani baada ya updates kadhaa simu ilikuwa na matattizo lukuki kama vile app kucrash bila sababu, Na tatizo sugu la simu kuisha chaji haraka. Kwani kuna update moja nilifanya simu ilikuwa inaisha chaji baada ya masaa manne, haikujalisha umeitumia ama laa. Nikaona isiwe tabu. Acha nifall back to WP8, nikarudi zangu WP8 na simu kurudi katika normal mode. Maisha yakaendelea.

Sasa August 16 Microsoft wametoa official release ya windows phone 10. Kuipata na kujua kama simu yako inauwezo wa kupata WP10, nedha katika market, download app inayoitwa "Upgrade advisor". Ukishaipata hii app itakueleza na kukuguide through whole upgrade process. kutokana na reviews nyingi mitandaoni zinasema matatizo sugu ya charge, simu kuhang, na app kucrash yamekwisha.

Pia inashauriwa kama ulikuwa na windows phone 10 preview hapo kabla uliyoipata katika isider rings, just fall back to WP8 kwanza. Then uanze fresh WP10 annivesary update kwa kupitia upgrade advisor. Binafsi baada ya microsoft kutoa annivesary update nilikuwa nangoja reviews za wadau nione kama hayo matatizo ya WP10 niliyokumbana nayo yaliyokuwa katika preview version yamekwisha au laa. Wadau wengi walioenda WP10 annivesary update wamerecomend vizuri. So i am preparing kufanya major update ya WP10.

Kumbuka kufanya backup ya files zako muhimu kama vile picha, video, docs etc kabla ya kufanya update. kwani zitapotea baada ya kuupdate.

So nawakaribisha wadau wote wa windows phone hususan wale walioupdate OS kwenda WP10 anniversary kutoa experience zao baada ya kufanya updates.
 
  • Thanks
Reactions: xbs

Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,063
2,000
Baada ya hapa, usiku wa kuamkia juzi niliacha simu yangu inafanya update ya OS yake kutoka WP8.1 kwenda W10M aniversary update. Ilinigharimu kama 1.5 GB hivi za data.

Baada ya kufanya update, na kutumia kwa juzi, jana na leo. Haya ndiyo niliyokutana nayo.

1. Tatizo la App kucrash kama ilivyokuwa katika W10M preview limekwisha. Simu inaoperate na kubehave kama ilivyokuwa katika WP8.1.

2. Kuna features nyingi zimeongezeka kama inbuilt torch app, view, grouping ya menu listing, nk. Huku upadhe wa securityy ikiimarishwa zaidi.
3. Utumiaji wa chaji bado upo mzuri kiasi chake, ila si mzuri kama nilivyoona kwa WP8.1. Nipo naanalyse hili, yawezekana ni ishu ya settings. Though si mbaya sana kama ilivyokuwa katika W10M preview.

Mengine bado. Kuna mwenye experience tofauti na hii juu ya W10M.?
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,315
2,000
duh nilizipenda sana lakini mmmmh. acha kwanza niwe huku niliko ambapo tunatafuniwa kila kitu
 
Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
2,799
2,000
Naombeni mlolongo wa kuweza kuupdate kwenda W10 .Mmi sijui nianzie wapi na nimalizie wapi jamani je haina madhara
 
ibuo

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
466
500
Hizi windows phone zinakosesha sana uhuru ayse staki kuziona kabisa
 
RETROJAY

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
693
1,000
Mimi pia natumia Lumia 640 LTE, lakini kwa upande wangu nipo kwenye Insiders so Nime-configure simu kupokea Windows 10m Preview updates kama "Fast ring". Kwa sasa nipo kwenye build 14905.1000, ambayo ndiyo build inayoenda kwa codename "Redstone 2". Ninachokipenda zaidi ni kuwa mimi nakuwa wa kwanza kujaribu features mpya before hazijaanza kuwekwa kwenye Production ring. Apps zilizopo kwenye Windows 10 zinavutia sana hasa hasa Store na Groove Music ambayo ndiyo music player bora zaidi kwa sasa. Sidhani kama kuna music player iliyo simple na bado ika-deliver kwenye ubora na ufanisi. Kwa insiders waliopo kwenye Fast ring wana kutana na vikwazo kama matumizi mabovu ya battery, na crashes. Windows phone nyingi ni nzuri sana, hasa kama unapenda music, zina sound quality nzuri sana, ni rahisi sana kutumia. Na kama umeupdate kwenda Windows 10 utagundua kiasi gani Microsoft wamefanya kazi nzuri sana kwa kipindi hiki.
 
Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
2,799
2,000
Kituu
Umesoma original post katika huu uzi.? Nini hujakielewa.? Maana hili swali lako limejibiwa humo.
Inanikomandi mkuu niwe na wifi nielekeze de way nitaweza tengeneza wifi kupitia simu zangu mbili ili niweze fanya hiyo makitu
 
Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,063
2,000
Mimi pia natumia Lumia 640 LTE, lakini kwa upande wangu nipo kwenye Insiders so Nime-configure simu kupokea Windows 10m Preview updates kama "Fast ring". Kwa sasa nipo kwenye build 14905.1000, ambayo ndiyo build inayoenda kwa codename "Redstone 2". Ninachokipenda zaidi ni kuwa mimi nakuwa wa kwanza kujaribu features mpya before hazijaanza kuwekwa kwenye Production ring. Apps zilizopo kwenye Windows 10 zinavutia sana hasa hasa Store na Groove Music ambayo ndiyo music player bora zaidi kwa sasa. Sidhani kama kuna music player iliyo simple na bado ika-deliver kwenye ubora na ufanisi. Kwa insiders waliopo kwenye Fast ring wana kutana na vikwazo kama matumizi mabovu ya battery, na crashes. Windows phone nyingi ni nzuri sana, hasa kama unapenda music, zina sound quality nzuri sana, ni rahisi sana kutumia. Na kama umeupdate kwenda Windows 10 utagundua kiasi gani Microsoft wamefanya kazi nzuri sana kwa kipindi hiki.

Mkuu annivesary update ya W10M tayari ishatoka official. Na kwa sasa W10M inapatikana hata kwa wale wasiokuwa katika insider rings. Though kwa sasa kwa sisi wa anniversary update tupo katika OS build 14393.67
 
xbs

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
236
250
Mkuu huu uzi ni mzuri sana kwa sisi tunaotumia hizo sim lakin niombe tu muwe mnasaidia ikiwemo na kutuwekea link tusiojua kupekua sana hadi huko mbali
 
Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,063
2,000
Mkuu huu uzi ni mzuri sana kwa sisi tunaotumia hizo sim lakin niombe tu muwe mnasaidia ikiwemo na kutuwekea link tusiojua kupekua sana hadi huko mbali

Unataka nini.? weka unalotaka kuna wadau wengi sana wa Windows phone humu. Hakika hutokosa msaada kivyovyote vile.
 
RETROJAY

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
693
1,000
Mkuu annivesary update ya W10M tayari ishatoka official. Na kwa sasa W10M inapatikana hata kwa wale wasiokuwa katika insider rings. Though kwa sasa kwa sisi wa anniversary update tupo katika OS build 14393.67
Mimi nipo interested sana kwenye kujaribu features mpya, na siyo stability. I'm in the insiders ring for the stay.
 
Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,063
2,000
Mimi nipo interested sana kwenye kujaribu features mpya, na siyo stability. I'm in the insiders ring for the stay.

Vipi kuhusu kukaa na chaji.? na stability huko mbele ya safari. Maana haya ndo matatizo sugu katika updates zozote.?

kuna feature gani mpya ya ziada iliyoongezeka.?
 
RETROJAY

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
693
1,000
Vipi kuhusu kukaa na chaji.? na stability huko mbele ya safari. Maana haya ndo matatizo sugu katika updates zozote.?

kuna feature gani mpya ya ziada iliyoongezeka.?
Hakuna feauture yoyote mpya, zaidi ya improvement wanazofanya kwenye kuhakikisha ubora wa sauti, na wameongeza tones mpya kwenye sound settings kqa ajili ya calls & notification alerting.
 
am_fahmy

Member
Jul 31, 2016
19
45
Hee iyo windows 10 mobile mbona update yake ishatoka zamani tu tangu January wame release ww ndo umeipata juzi bro
 
am_fahmy

Member
Jul 31, 2016
19
45
Kama kuna mtu anatumia windows phone na anataka update ya windows 10 ( yani bado hajapata notification ) aseme niweze kumwelezea jinsi ya kupata
 
Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,063
2,000
Hee iyo windows 10 mobile mbona update yake ishatoka zamani tu tangu January wame release ww ndo umeipata juzi bro

Hiyo ya january haikuwa official update release. Hiyo ya january ilikuwa ni preview release na siyo january, ilitoka tangu quater ya tatu ya mwaka jana. Ilitolewa kwa insiders kwa ajili ya kukusanya maoni ya wadau mbalimbali warejeshe feedback kwa microsoft juu yake. Ili kuipata hii ilihitajika ujiunganishe na insider rings.

Hii ninayoisemea mimi ni Anniversary update. yaani baada ya makusanyo yooote ya maoni toka kwa wadau walioitest, Windows kwa kiasi fulani wameridhika na baadhi ya vitu hivyo wakaamua waitoe kea watumiaji wengine ambao hawakujisubscribe na insider rings.

Kuipata hii huhitajiki kujisubscribe na insider rings, bali unainstal app ya update advisor ambayo inapatikana WP store kisha itakuambia kama simu yako inapokea updates ama laa. Baada ya hapo itakuguide process zilizobakia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom