Manwambele
Senior Member
- Jan 4, 2016
- 110
- 175
Naombeni msaada jaman Nina desktop yangu nimebdlisha harddisk inagoma kuwaka msaada jaman...
Ndo nini hiyo mkuuChemsha maji yawe ya moto weka pakiti ya chumvi tumbukiza kwa masaa 4 itoe weka katika mfuko wa nylon weka sehemu yenye giza sana kwa wiki 1 itoe chukua adapter weka moto isipo waka njoo hapa kwa ushauri mwingine.