wapi naweza jifunza graphics for funny?. Nina knowledge na Photoshop pia nina some ideas ya illustrator and little knowledge with indesign.
Kama una idea ya software zote hizo na bado unajiuliza swali hili maana yake hujui unachokifanya mpaka leo.
1 - Kubali kupoteza Muda
2 - Kubali kupoteza Muda
3 - Kubali kuwa hujui kitu
4 - Kaa mbali na ujuaji. (onyesha vichache kuliko unavyovijua)
5 - Usiamini katika Likes, hii ni mbaya sana.
6 - Soma vitabu na pitia tutorials mbalimbali, wanazokufundisha Designing na kutengeneza effects sio kuweka effects, elewa vizuri hapo.
Mwisho elewa kwamba Kujua softwares Kibao sio ujanja, ujanja ni kumudu software kikamilifu ili kukamilisha mambo yako.
Mfano unaweza tengeneza Logo kupitia After Effect ambayo hata kwenye Illustrator na Photoshop utaifanya.
Usipoteze mood, graphics inahitaji sana mood kwasabu ni life style ya kila siku, unaweza jikuta unafungua Adobe/Gimp bila sababu unajikuta tu, that's a mood.
Never Give Up n HAVE A FAITH IN GOD