Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Nov 24, 2016 #1 Wadawa naomba kufahamishwa kati ya Simu hizi mbili Tecno n8 na Huawei y3ii IPI inafaa kwa matumizi ya kawaida na ukaifurahia
Wadawa naomba kufahamishwa kati ya Simu hizi mbili Tecno n8 na Huawei y3ii IPI inafaa kwa matumizi ya kawaida na ukaifurahia
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Nov 24, 2016 #2 Kabelwa said: Wadawa naomba kufahamishwa kati ya Simu hizi mbili Tecno n8 na Huawei y3ii IPI inafaa kwa matumizi ya kawaida na ukaifurahia Click to expand... Kwa upande wa processor Go for huawei pia zipo za 4G. ila screen ndogo 4.5". Kwa upande wa kioo go for Tecno ina 5" Zote zinatumia Mediatek. Kwa ushauri wangu Tafuta Tecno W4 inazishinda zote hizo kwa kila kitu na bei ni mlemle.
Kabelwa said: Wadawa naomba kufahamishwa kati ya Simu hizi mbili Tecno n8 na Huawei y3ii IPI inafaa kwa matumizi ya kawaida na ukaifurahia Click to expand... Kwa upande wa processor Go for huawei pia zipo za 4G. ila screen ndogo 4.5". Kwa upande wa kioo go for Tecno ina 5" Zote zinatumia Mediatek. Kwa ushauri wangu Tafuta Tecno W4 inazishinda zote hizo kwa kila kitu na bei ni mlemle.
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Nov 24, 2016 Thread starter #3 Tecno w4 inauzwa bei gani
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Nov 24, 2016 #4 Kabelwa said: Tecno w4 inauzwa bei gani Click to expand... 170,000 hadi 185,000
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Nov 24, 2016 Thread starter #5 Ok
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Nov 24, 2016 Thread starter #6 Hii Tecno w4 inauwezo Wa kutumia 4g
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,737 Reaction score 18,927 Nov 24, 2016 #7 Hio huaweu ni sh ngapi
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Nov 25, 2016 Thread starter #8 Wadau wa hizi Tecno naomba kuuliza kuhusu battery ktk Tecno w4 unaweza kuitoa na kuiludisha au ndio zile ambazo huwezi kuitoa
Wadau wa hizi Tecno naomba kuuliza kuhusu battery ktk Tecno w4 unaweza kuitoa na kuiludisha au ndio zile ambazo huwezi kuitoa