Msaada wa fundi wa kuinstal madish ya Azam

dmketo

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
636
Reaction score
1,046
Naishi Mbezi Njia ya kwenda Makabe. Nimefunga Azam dish yapata miezi 10 sasa. Bahati mbaya siku ya tatu leo limepoteza chanel zote local isipokuwa Azam sport HD, Star Tv na Tv1. Chanel za nje zinaonekana vyema.

Nimeita fundi amejaribu kucheki juu kwenye dish kupo sawa na akipima frequency zipo sawa isipokuwa kwenye Tv frequency inasoma Intensity 72 & Quality 22. Shida ni kwamba fundi akisoma frequency juu kwenye dishi zipo vizuri ila ndani ndio shida. Mwanzo fundi alihisi shida ipo kwenye Lnb tukanunua nyingine tatizo likawa vilevile, tukaicheck decoder nayo ipo sawa.

Nikiamini kwamba uwezo wa mafundi unatofautiana naomba kama kuna fundi mzuri aliye karibu na Mbezi humu anipm namba yake aje kunirekebishia.
 
mbona kama tatizo ni waya au pale pa kuchomekea? kama juu quality zipo sawa na ndani quality inashuka inamaana njiani ndio kuna tatizo. badili waya

pia kama baadhi ya chanell zipo na nyengine hamna pengine baadhi ya frequency zimefutwa angalia kama frequency zote zipo, then search upya

frequency hizi
Azam TV on Eutelsat 7B at 7.0°E - LyngSat
 
kama unaweza beba kingamuzi chako uje nacho kigamboni ilo nahisi ni suala la software
Naishi Mbezi Njia ya kwenda Makabe. Nimefunga Azam dish yapata miezi 10 sasa. Bahati mbaya siku ya tatu leo limepoteza chanel zote local isipokuwa Azam sport HD, Star Tv na Tv1. Chanel za nje zinaonekana vyema.

Nimeita fundi amejaribu kucheki juu kwenye dish kupo sawa na akipima frequency zipo sawa isipokuwa kwenye Tv frequency inasoma Intensity 72 & Quality 22. Shida ni kwamba fundi akisoma frequency juu kwenye dishi zipo vizuri ila ndani ndio shida. Mwanzo fundi alihisi shida ipo kwenye Lnb tukanunua nyingine tatizo likawa vilevile, tukaicheck decoder nayo ipo sawa.

Nikiamini kwamba uwezo wa mafundi unatofautiana naomba kama kuna fundi mzuri aliye karibu na Mbezi humu anipm namba yake aje kunirekebishia.
 
kama unaweza beba kingamuzi chako uje nacho kigamboni ilo nahisi ni suala la software
Poa Twalib, ngoja nicheki jumatatu kama nitakuwa free nitakucheki nipite pande hizo
 
Back
Top Bottom