Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,617
Habari waungwana,
Nimekuwa nikitafuta namna ya kuunganisha computer system unit moja - watumiaji wanne au zaidi. Kwenye maduka nimekosa hivyo vifaa vya kufanyia connection, nimeenda ofisi moja nikakuta wameunga hivyo lakini hawakutaka kunielekeza ni wapi wamepata hivyo vifaa.
Kwa yeyote anayejua namna ya kufanya hiyo kitu naomba anisaidie ili niweze kufanikisha shughuli zangu.